Kingurimi

Kingurimi (au Kingoreme) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wangurimi. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kingurimi imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingurimi iko katika kundi la E40.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy